Thursday, August 10, 2017

UNAAMBIWA MAISHA YA WOLPER YANATEGEMEA POMBE


IMEBAINIKA! Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper akiwa hajapiga ‘tungi’ anakuwa na aibu kiasi cha kushindwa kuzungumza jambo mbele za watu.

Wolper alivujisha siri hiyo juzikati baada ya kufanya ‘interview’ akiwa hajaonja kilevi na kutoboa ukweli kuwa hakuwa na ‘konfidesi’ kwa sababu hakuwa ameshtua.

“Unajua nikiwa sijanywa mimi huwa nina aibu kweli lakini nikipiga mambo yetu utanikataa, jicho linakuwa kavu wala sibabaiki,” alisema Wolper.

No comments:

Post a Comment