Kuhusu ishu ya Agness Masogange iliyosemwa na Wema Sepetu? Paul Makonda amejibu hivi:
"Mimi nina kifua cha kuhimili mikiki yote, kwa hiyo ni kama ina niongezea nguvu, sasa wewe umekamatwa unashindwaje kumtaja muhusika akakamatwa na uko sehemu husika? Hata hivyo mtu ukiwa mahabusu unawezaje kutumia simu? Hilo ni kosa na sasa vyombo vya usalama vina lishughulikia hilo"

‘Haya mengine yanaoendelea kama mtu ana ushahidi anatupa taarifa
tumekamata watu zaidi 120 kupitia taarifa tulizozipata sasa wewe
umeshindwaje kumtaja naye akafuatwa’
No comments:
Post a Comment