Wednesday, February 8, 2017

MAKONDA AMTAKA MANJI KUFIKA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA MADAWA YA KULEVYA

 
                                                       Mwenyekiti wa yanga Yusuf Manji

TUHUMA: Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda amemtaka mwenyekiti wa Yanga , Yusuf Manji kufika kituo cha polisi Ijumaa hii kwa mahojiano kuhusu madawa ya kulevya .

No comments:

Post a Comment