Adacom Tanzania

.

.

Pages

  • Home
  • HABARI
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • SIASA

Friday, February 16, 2018

WATANZANIA WAWILI WAKAMATWA CHINA WAKIWA NA KETE 129ZA DAWA ZA KULEVYA


Watanzania wawili, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa wamekamatwa nchini China wakiwa wamemeza kete 129 za dawa za kulevya wakiwa na mtoto wao wa miaka 2 na miezi 9 ambaye amerudishwa nchini leo. Baraka alikuwa amemeza kete 47 na Ashura kete 82.
Posted by Adacom Tanzania at 12:23 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

VIEWERS

471154

ZILIZOSOMWA ZAIDI

  • TUNDU LISSU.MASHA WATAKA KUJUMUISHWA KESI YA KUPINGA UCHAGUZI
  • HESHIMA YA CANNAVARO IANZIE KWA MASHABIKI WA SIMBA
  • PICHA ZA WANAFUNZI WALIONUSURIKA KATIKA AJALI KARATU WAPO HOPITALINI MAREKANI YAFANIKISHA UPASUAJI
  • MWONEKANO WA GAZETI LA NIPASHE LEO JUMATATU OCTOBA 9/2017
  • ADACOMPLANET HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO IJUMAA YA AUGUST 25/2017
  • URUSI:RAIA WAANDAMANA KUPINGA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
  • SAID MECKI SADIKI ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA AANDIKE BARUA YA KUACHA KAZI YA UKUU WA MKOA
  • ADACOMPLANET HABARIZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMANNE YA SEPTEMBA 12/2017
  • JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTIYE
  • KARIBU ARUSHA TEACHERS COLLEGE
Picture Window theme. Powered by Blogger.