Monday, May 8, 2017

PICHA ZA WANAFUNZI 32,WAALIMU 2 NA DEREVA MMOJA WA SHULUE YA LUCKY VICENT WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KARATU MKOANI ARUSHA

Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.



No comments:

Post a Comment