Alisema magari yaliyokamatwa yalikuwa 9,401, pikipiki 1,169, na mengine ya binafsi na malori 19,022. Alisema waendeshaji bodaboda 10 walifikishwa mahakamani kwa kutovaa helmet na kupakia ‘mishkaki’. “Kama kila mtu atazingatia sheria na matumizi sahihi ya barabara, ajali za barabarani zitapungua na hivyo kuepusha vifo na majeruhi vinavyosababishwa na ajali,” alisema Sirro.

No comments:
Post a Comment