Tuesday, September 19, 2017

HAMISA MABETO AMESEMA DIAMOND NDIYE BABA MTOTO WAKE

 Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameamua kuweka mambo hadharani kwa kumtaja baba wa toto wake wa pili AbdulLatif kuwa ni Diamond Platnumz.


Kwa mujibu wa akaunti ya mtandao wa Instagram ya mtoto huyo inaonyesha jina kamili la mtoto kuwa ni “Dully Dangote (AbdulLatif Naseeb Abdul Juma )Lion 🦁 (Leo) -8|8|2017 TanzanianBaby 👑 @hamisamobetto & Diamond Platnumz Son.”

No comments:

Post a Comment