"Mwaka 2016, Afrika Kusini ilizalisha tani 140 za dhahabu na Ghana tani 90 hivyo kuongoza Afrika. Kwa Taarifa ya Prof. Mruma, Tanzania huzalisha tani 112 za dhahabu kutoka kwenye makanikia yaliyokutwa kwenye makontena ya migodi 2 tu ya Buzwagi na Bulyanhulu. Ukiongeza uzalishaji wa migodi ya North Mara na Geita, Tanzania inakuwa mzalishaji mkuu wa dhahabu Afrika nzima.
No comments:
Post a Comment