ALICHOKISEMA KIKWETE ALIPOKUTANA NA SAMATTA UBELGIJI
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchezaji wa Kimataifa wa Kitanzania Mbwana Ali Samata mjini Brussels Ubelgiji
Kikwete ameeleza kuwa amekutana na Mwana soka Kipenzi cha Taifa la Tanzania
Kikwete alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi kama Mwenyekiti mwenza Baraza kuu la wakimbizi duniani.
No comments:
Post a Comment