Bwana mdogo, Young Samuel ambaye ni
shabiki mkubwa wa manchester United alipewa nafasi ya kufika kwenye
viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo kongwe vya Carrington.
Samuel ambaye anasumbuliwa na matatizo
ya bongo, alikuwa kama yuko ndotoni baada ya wachezaji wawili nyota Paul
Pogba na Zlatan Ibrahimovic.
Kama sekunde kumi hive, Samuel mwenye
umri wa miaka 11 alibaki akiwaangalia Zlatan na Pogba waliokuwa mbele
yake hadi walipoanza kumsemesha.
Baadaye alipewa nafasi ya kucheza soka kwenye viwanja vya mazoezi akiwa na nyota hao wawili na kuonyesha furaha yake kuu.
No comments:
Post a Comment