Monday, May 8, 2017

IBADA YA KUWAAGA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI KARATU

Leo  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.

No comments:

Post a Comment