Monday, February 13, 2017

MKUTANO WA RC PAUL MAKONDA KATIKA AWAMU YA TATU YA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda muda huu yupo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere ambapo atatangaza list mpya ya majina ya watu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya Madawa ya kulevya.

Hii itakuwa list ya tatu ya mkuu huyo baada ya mbili kupita.

Katika list zilizopita vigogo mbalimbali walitajwa kama Yusuph Manji, Iddi Azzan, askofu Gwajina na wengine.

Pia mkutano wa leo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja viongozi wa usalama. 

No comments:

Post a Comment