MBIO ZA UBINGWA LIGI KUU BADO HAZIJAISHA AMESEMA NG'OLO KANTE
Nyota wa chelsea Ngolo Cante amesisitiza kuwa mbio za ubingwa ligi kuu uingereza bado hazijaisha bado kuna safari ndefu amesema. Nyota huyo aliongooza timu yake juzi na kupata ushindi wa bao tatu kwa moja
No comments:
Post a Comment