Tuesday, February 20, 2018

UGONJWA WA UKIMWI HAUWEZI KUAMBUKIZA KWA NJIA ZIFUATAZO

Ugonjwa wa ukimwi hauwezi kuambikizwa kwa njia zifuatazo.

1.    Busu kavu

2.    Kuchangia kitanda kimoja.

3.    Kula kwa pamoja.

4.    Kutumia vyombo vya aina moja kulia chakula.

5.    Kupiga chafya.

6.    Kuchangia choo kimoja

7.    Kuumwa na wa wadudu ikiwemo (mbu).

No comments:

Post a Comment