Simbachawene amewahi kuwa Naibu Waziri wa Nishati na madini Mei 2012-Janauri 2014, baada ya hapo akahamishiwa kwenye Wizara ya Nyumba na Makazi katika nafasi ya Unaibu waziri, na ilipofika Januari 2015 akateuliwa kuwa Waziri wa Nishati na Madini akichukua nafasi ya Prof Sospiter Muhongo aliyejiuzulu kufuatia kashfa ya Sakala la Uchotwaji wa Fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow
No comments:
Post a Comment