Friday, August 4, 2017

BREAKING NEWS:WANACHAMA WA CUF WAZICHAPA MAHAKAMA KUU LEO


Moja ya habari iliyonifikia wakati huu ni kuhusu Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba wamepigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment