JE KUNADALILI YA KUANZA KUFUNGA NDOA NA ROBOT?
Ulimwenguni sayansi na technolojia
imeendelea kukuwa kwa kasi sana kupelekea tishio sasa la watu kuanza
kufunga ndoa na Marobot kama wake au waume na kuishi maisha ya
kimapenzi.
Wakati wasiwasi ukiendele kutanda kuwa
Roboti anaweza kuchukua nafasi ya kimapenzi kwa mwenza wako na akafanya
vizuri zaidi, Maumbile ya marobiti yameendelea kuboreshwa hatakufikia
kuwa na mvuto kama binadamu wa kawaida.
Wataalamu
wa tekinolojia wameendela kueleza kuwa marobot wanaendelea kuboreshwa
zaidi na kufanana zaidi na binadamu ilikuweza kuamsha hisia za
kimapenzi.
Dr
Kevin Curran, mshirika mkogwe wa Institute of Electronic napia ni
‘Electrical Engineer’ na ni ‘computer scientist’ wa chuo kikuu cha
Ulster, amezidi sema ujio wa ‘cloud computing’ unaweza ongeza ubora
zaidi wa robot hao kuwa natabia na mienendo itakayo fanana zaidi na
binadamu wa kawaida.
No comments:
Post a Comment