Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwanadada Jokate ambaye anatoka
kimapenzi na Alikiba ameandika ujumbe huu hapo chini ambao umewaacha
watu wakijiuliza maswali ni nani hasa anakusudiwa? Ingawa katika baadhi
ya Komenti za mashabiki wake katika posti hiyo aliyoweka zimeonesha
Mwanadada huyo kama haridhiki na ukaribu alionao Alikiba na meneja wake
Seven Mosha
@jokatemwegelo Unapotumia sio nguvu bali akili nyingi kumtengeneza mtu na akafikia mafanikio fulani hivi halafu ki-mtu kingine kikajiweka mbele na kutaka credit zote ๐ณ๐๐, una smile kama hivi ๐ukiacha waendelee huku ukitafakari maneno kwenye vitabu vitakatifu wa kwanza atakuwa wa mwisho na mwisho atakuwa wa kwanza. Maisha ni mzunguko. Mungu yu mwema sana.
BAADHI YA KOMENTI
@mamibella1
That mosha woman seems manipulative. She getting kiba to give her some
or what? She don't want no woman around kiba... You shoulda seen the way
she was Moody when vee escorted kiba at some event the other day. Like,
sup with her?
@issakasonga
Kiba na Meneja wake 7Mosha!!!
No comments:
Post a Comment