Tuesday, March 7, 2017

KITUO CHA MAFUTA TEGETA JIJINI DARCHATEKETEA KWA MOTO

Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kineteketea kwa moto.Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.

No comments:

Post a Comment