RONALDO ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE HUKU MCHEZO WA REAL UKIAHIRISHWA
Nyota
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa na mwanawe na mama yake
wakisherehekea siku yake ya kuzaliwa jana alipotimiza miaka 32, huku
mchezo wa timu yake wa La Liga dhidi ya Celta Vigo kuahirishwa kutokana na miale mingi ya moto kurushwa na mashabiki Uwanja wa Rio Alto Balaidos.
No comments:
Post a Comment