Friday, February 10, 2017

KOCHA WA YANGA AMELALAMIKA KUWA HAKUNA SEHEMU NZURI YA KUFANYIA MAZOEZI


Kocha wa Yanga ,George Lwandamila amesema kutokuwa na sehemu maalum ya mazoezi kunamfanya ashindwe kuwa na program maalum katika mazoezi.

No comments:

Post a Comment