Kamanda
wa kanda maalumu ya Dsm,Kamanda Sirro amewaambia waandishi wa habari
kuwa bado wanaendelea kumshikilia Tundu Lissu katika kituo kikuu cha
Polisi ikiwa ni siku ya tatu bila dhamana.
Lengo
la kuendelea kumshikilia ni kuendelea kufanya upelelezi wa matamshi
yake na kujihakikishia pasi na shaka kuwa Tundu Lissu ana kesi ya
kujibu.
Hadi pale upelelezi huo utakapokamilika,basi Tundu Lissu atafikishwa mahakamani.
No comments:
Post a Comment