Mchezaji wa Liverpool Roberto Firmino ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa misimu mingine zaidi.
Firmino ameasaini mkataba huo ambao utamfanya aweze kulipwa kiasi cha paundi 180,000 kwa wiki ambapo ni zaidi ya shilingi milioni 410 za Kitanzania.
Mkataba huo mpya unatarajiwa kufikia tamati mwaka 2023.

No comments:
Post a Comment