Monday, September 11, 2017

MFUMO WA ELIMU UNABAGUA WATU TANZANIA

Msanii Nikki wa Pili


Msanii Nikki wa Pili amedai kuwa watanzania wengi hawajapata elimu kutokana na kuwa mfumo wa elimu Tanzania unabagua watu na ndiyo maana hata wasanii wengi hawajaenda shule na siyo kwamba hawapendi shule.

Nikki amefunguka hayo na kusema kuwa mchakato wa michujo inayotumika kupata wasomi imekuwa ikiwatenga wanafunzi wenyewe na hali hiyo inasababishwa na elimu inayotolewa ili kumkuza mwanafunzi.

Nikki amesema kwamba licha ya kulalamikiwa wanafunzi wanalega shule ni kutokana na kukosa mfumo bora wa kuwapelekea wao kutimiza ndoto zao zaidi ya kukaririshwa kuhusu elimu.
"Nikienda shuleni sasa hivi nikimuambia mwalimu anipe wanafunzi 10 wenye akili ataniletea anayejua hesabu, physics na masomo mengine

No comments:

Post a Comment