Wednesday, September 27, 2017

KESI YA VIGOGO WA SIMBA YAPIGWA KALENDA

Kesi inayowakabili viongozi wa Klabu ya Simba imeendelea leo katika mahamaka ya mkazi kisutu  jijini dar es salaam huku ikielezwa kuwa jalada ambalo limepekwa kwa DPP kwa lengo la kujiridhisha na uchunguzi halijarejeshwa hivyo kupelekea kesi hiyo kuairishwa

Vigogo hao wa simba ambao ni rais Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey  wa  Nyange maarufu Kaburu wanakabiliwa na mashtaka utakatishaji fedha.
Aidha upande wa utete wa viongozi hao wa simba wameiomba mahakama kesi hiyo itajwe tarehe za karibu, hivyo kesi hiyo imearishwa hadi oktoba 4 mwaka huu

No comments:

Post a Comment