Akichonga na Showbiz Xtra, Wolper ambaye hivi karibuni aliripotiwa kumpiga chini Harmonize aliweka wazi kuwa, kwa sasa hayupo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa madai kuwa, wanaume wengi aliojihusisha nao hawakuwa wakweli, jambo lililomfanya ajiweke mbali na masuala hayo.
“Sihitaji kabisa kusikia suala linaloitwa mapenzi maana nimekoma, ninahitaji kufanya mambo yangu mengine kabisa hasa biashara na muvi,” alisema Wolper.
No comments:
Post a Comment