Monday, May 8, 2017

AJALI LUSANGA MUHEZ:WATU WANNE( 4)WAFARIKI DUNIA, 15 WAJERUHIWA


Watu 4 wamefariki na 15 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugonga lori katika Kijiji cha Lusanga Muheza. Majeruhi wapo Hospitali Teule ya Muheza. Bado tunafatilia Habari kwa kina

No comments:

Post a Comment