TUNDU LISSU ASAFIRISHWA KUELEKEA DAR ES SALAAM AKIDAIWA KURUKA MASHARTI YA DHAMANA
Mbunge
Tundu Lissu(CHADEMA) amekamatwa na Polisi asubuhi ya leo nyumbani kwake
Dodoma na kupelekwa Ofisi ya Kamanda wa Polisi na sasa anasafirishwa
kwenda Dar es Salaam kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana.
No comments:
Post a Comment