.
Pages
Home
HABARI
MICHEZO
BURUDANI
SIASA
Saturday, March 4, 2017
SIMBA KUIADHIBU MBEYA CITY LEO
Ligi kuu ya Vodacom itaendelea leo Simba itaikaribisha Mbeya City Uwanja wa Taifa Dar .Ambako Simba imeahidi kuendeleza wimbi la ushindi kama walivyomfanyia Yanga.Simba wanaenda uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga .
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment