AHMED AHMED KACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA CAF
Ahmad (kushoto) atachukua mahala pa Issa Hayatou (kulia) baada ya karibu miongo mitatu
Madagascar
wamemchagua Ahmed Ahmed kuwa Rais wa shirikisho la Soka Afrika katika
uchaguzi uliofanyika leo huko Addis Ababa nchini Ethiopia
No comments:
Post a Comment