Msomaji wa habari ameuawa wakati akisoma habari za moja kwa moja facebook Jamhuri ya Dominika.
Luis Manuel Medina ambae alikuwa akisoma habari redioni ameuawa katikati ya usomaji wa habari hizo.
Kwa mujibu wa habari mshambuliaji aliingia katika studio hizo na kumuua
Medina pamoja na mtayarishaji wa kipindi hicho Leo Martinez.
Tukio hilo limetokea siku ya Jumanne.
Uchunguzi zaidi unaendelea.
No comments:
Post a Comment