Baada ya masaa 5 ya shughuli ya kupiga kura,Mohamed Abdullahi Farmajo
alitangazwa mshindi katika uchaguzi nchini Somalia hapo jana .
Farmajo alishinda kwa kura 184 na hivyo basi kuwa rais wa 9 wa nchi ya Somalia .
Rais mwendazake Hassan Sheikh Mohamud alifuata kwa kura 97 kutoka kwa wabunge waliopiga kura hiyo.
No comments:
Post a Comment