Msanii wa Kike mwenye Sauti ya yenye kumtoa 'nyoka pangoni' Rehema Chalamila Ray C amkuwa kwenye muonekana mpya mara baada ya kuamua kuachana na Dawa ya kulevya.
Ray C amejiapiza kutorudia Dawa za Kulevya mara baada ya kuona vifo vya vijana wengi wakipotea kwenye matumizi ya Dawa za Kulevya
![]() |
picha mpya za Ray C . |
No comments:
Post a Comment