Katika hatu nyingine Mkuu huyo wa Wilaya amezindua Vyoo vya kisasa kwaajili ya wanafunzi wa Kiume na wa Kike wa Shule ya Msingi Kikwe, vyoo ambayo vinaeneo maalum litakalowawezesha wanafunzi wenye ulemavu kupata Huduma hiyo bila taabu. Vyoo hivyo vimejengwa kwa mchango wa nguvu ya wananchi na wafadhili ikiwa ni utekelezaji wa uhamasishaji uliofanya na Mkuu huyo wa Wilaya Julai mwaka Jana alipotembelea shule hiyo.
No comments:
Post a Comment