Wednesday, May 24, 2017

BREAKING NEWS:RAIS MAGUFULI AIVUNJA BODI YA UKAGUZI WA MADINI (TMAA)


Rais John Magufuli aivunja bodi ya Ukaguzi wa Madini Tanzania kutokana na mapendekezo ya kamati ya Uchunguzi wa Makontena ya Mchanga wa Dhahabu.
"Nimeivunja bodi ya TMAA, na ninaagiza vyombo vya dola na Takukuru muwafuatilie muwafikishe kwenye mkono wa sheria"

No comments:

Post a Comment