Thursday, May 18, 2017

ALIYEMPA VYETI BASHITE ATOWEKA


Taasisi ya kuzuia na kupambana Rushwa mkoani Tabora inamsaka Mwandishi na mtangazaji wa kituo cha redio cha Sauti ya Tabora (Voice Of Tabora) Paul Christiani kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Hababri za uhakika ambazo Gazeti la Matanzania imezipata mjini Tabora zinasema amekuwa akisakwa na na maofisa wa Taasisi hiyo kwa mahojiano kuhusu kashfa inayomuhusisha ya Vyeti vya elimu anavyodaiwa kuvitumia kiongozi mmoja.

No comments:

Post a Comment