Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan alipokutana
naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
ujumbe maalumu toka kwa Waziri Mkuu wa Israel Mhe. Benjamin Netanyahu
uliowasilishwa kwake na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan
alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan baada ya kutana naye kwa
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment