Friday, April 28, 2017

JINA LA MTUMISHI MWENYE CHETI FEKI ATAJWA NA MAGUFULI


Rais John Magufuli  

Dodoma. Rais John Magufuli amekabidhiwa majina ya watumishi wenye vyeti feki na kutaja jina la kwanza la mtu aliyetajwa kwenye ripoti hiyo.

 Alimtaja mtu huyo kuwa ni Abadallah Polea, ingawa hakueleza ni wa wapi na aliajiriwa katika sekta ipi ya umma.

 Amekabidhiwa ripoti hiyo na Waziri wa Utumishi, Angela Kairuki mjini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment