Saturday, March 18, 2017

UHABA WA MADAKTARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT JOHN POMBE MAGUFULI akubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea mgomo wa madaktari nchini humo,Ikulu yasema.

No comments:

Post a Comment