Mshambuliaji mkongwe wa Atletico Madrid, Fernando Torres ameumia vibaya
na kusababisha kutolewa kwa gari la wagonjwa na kukimbizwa hospitali
akiwa ameishapotea fahamu.
Torres aliumia wakati akiwania mpira na beki wa Derpotivo La Coruna katika mechi iliyoisha kwa sare ya bao 1-1, jana.
Hata hivyo, taarifa zilizotolewa asubuhi zimeeleza, Torres yuko vizuri naye alitupia mtandaoni kuwashukuru mashabiki waliomuombea.

No comments:
Post a Comment