Viongozi
mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Vicent
Mashinji, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Edward
Lowasa, Waziri Mkuu Msaatafu Sumaye na Meya wa Jiji la Arusha Mjini
Kalisti Lazaro wakiwa mahakamani kusikiliza uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema unaotolewa leo
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema akishuka kwenye gari kuingia mahakamani.
No comments:
Post a Comment