Ukosefu na/au upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Kufahamu
mambo yanayo sababisha tatizo la ukosefu/ upungufu wa nguvu za
kiume, dalili za mwanaume mwenye tatizo la ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu za kiume, viashiria vya tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume, athari za tatizo la ukosefu
na upungufu wa nguvu za kiume, tafadhali tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA/AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Hii
ni Tiba-Lishe maalumu kwa wanaume wenye kusumbuliwa na tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. Tiba –lishe hii
inajumuisha vyakula,matunda, mimea mbalimbali, pamoja na dawa ya
asili iitwayo Jiko.
JINSI
YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE
TATIZO LA UKOSEFU NA /AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Mahitaji
1. Dawa asilia ya Jiko
2. Juice ya msafisha tumbo
3. Supu ya nyanya chungu
4. Vitunguu swaumu/vitunguu maji
5. Juice ya rozera
6. Vumbi la Kongo ( Congo Dust )
7. Pink salt ( Chumvi ya pinki ) au Himalayan Salt
8. Pilipili manga
MAANDALIZI , MATAYARISHO NA MATUMIZI
Jinsi Ya Kuandaa, Kutayarisha na Kutumia dawa asilia ya Jiko.
Chukua
vijiko vidogo viwili vyenye dawa ya jiko, kisha tia kwenye
kikombe chenye maji ya moto ambacho ujazo wake ni milimita mia
mbili hamsini ( 250mills ). Iache kwa kama dakika kumi, kisha
koroga halafu tumia kunywa pamoja na machicha yake. Utafanya
hivyo mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni kwa muda wa siku
thelathini.
AU
Chukua vijiko vidogo viwili vyenye dawa yako halafu chemsha
pamoja na maji robo lita hadi itokote kabisa, kisha ipua halafu
tumia kunywa dawa pamoja na machicha yake. Utafanya hivyo mara
mbili kwa siku, asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini
VUMBI LA CONGO ( CONGO DUST ) :
Katika kipindi cha siku thelathini za matumizi ya tiba asilia
ya Jiko. Unashauriwa kutumia vumbi la congo walau mara moja
kwa wiki kwa muda wa wiki nne. Yani wiki ya kwanza, utumie mara
moja, wiki ya pili utumie maara moja, wiki ya tatu utumie mara
moja, na wiki ya nne utumie mara moja.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YA VUMBI LA CONGO
Chukua
dawa yako kiasi cha kujaa kwenye kidole, kisha changanya kwenye
mafuta ya kujipaka halafu tumia kupaka kwenye kichwa cha uume
wako. Utafanya hivyo, nusu saa kabla ya kushiriki tendo la
ndoa.
LISHE MAALUMU YA KUTUMIA PAMOJA NA DAWA YA JIKO
Pamoja na dawa ya Jiko, unashauriwa kutumia lishe maalumu kama ifuatavyo:
1.
SUPU YA NYANYA CHUNGU AMA NGOGWE : Unashauriwa kutumia supu
ya nyanya chungu mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa siku
thelathini.
Mahitaji :
·Robo
kilo ya nyanya chungu ( Tumia nyanya chungu zenye rangi ya
kijani kwani ndio zenye virutubisho vinavyo hitajika.
·Nusu
kijiko kidogo cha chumvi ya pinki ( Pink Salt), au Himalayan
salt pamoja na maji lita mbili. ( Kama utakosa hizo chumvi
utatumia nyanya chungu peke yake bila kuongeza chochote )
Matayarisho :
Baada ya kuziosha nyanya zako bila kutoa vikonyo vyake, ziweke
kwenye maji kiasi cha lita mbili, ndani ya maji hayo ongeza
nusu kijiko kidogo cha chumvi ya pink, au Himalayan Salt ( Kama
hauna hizo chumvi chemsha nyanya zako peke yake bila
kuchanganya na chochote), kisha chemsha hadi itoe supu. Baada ya
hapo, ipua kisha tumia kula supu yako pamoja na kutafuna nyanya
chungu zote ulizo chemsha.
Utafanya
hivi mara mbili kwa siku,asubuhi na jioni kwa muda wa siku
thelathini. Asubuhi utatumia muda wwowote kati ya saa kumi na
mbili alfajiri na saa nne asubuhi na usiku utatumia muda
wowote kati ya saa moja usiku hadi saa nne usiku. )
N.B
:KABLA YA KUTUMIA SUPU YA NYANYA CHUNGU, WEKA TOFAUTI AMA
INTERVAL YA DAKIKA KUMI HADI KUMI NA TANO TANGU UMETUMIA DAWA
YA JIKO. KWA MFANO KAMA UMETUMIA DAWA YA JIKO SAA MBILI
KAMILI,ASUBUHI, BASI SUPU YA NYANYA CHUNGU ITUMIE SAA MBILI NA
DAKIKA KUMI AU NA DAKIKA KUMI NA TANO . UTAFANYA VIVYO HIVYO
WAKATI WA USIKU.
Pia
kama, utakosa nafasi ya kuchemsha nyanya chungu, basi
unashauriwa kutafuna nyanya chungu zikiwa mbichi pamoja na maji
ya uvugu vugu lita moja na nusu, mara mbili kwa siku asubuhi
na jioni kwa muda wa siku thelathini.
3. JUICE YA ROZERA :
Unashauriwa kutumia juice ya Rozera mara kwa mara, kila upatapo
nafasi.. Unashauriwa kutumia lita moja hadi mbili ya juice ya
Rozera kila siku kwa muda wa siku thelathini mfululizo. Unatakiwa
kutumia lita hiyo moja ya juice ya Rozera kwa wakati mmoja.
Kama ni mchana utakunywa lita nzima ya juisi ya Rozera, na kama
ni jioni, utakunywa lita nzima ya juisi ya Rozera. Unatakiwa
kuinywa bila ya kuchanganya na kitu chochote kile. Na muda
mzuri wa kuinywa, ni kati ya saa sita mchana hadi saa saa
2 kamili usiku.
Matayaraisho
Ya Juice Ya Rozera : Chukua vijiko vikubwa vinne vya rozera
iliyo kaushwa, kisha loweka kwenye maji lita mbili, iache kwa
muda wa dakika thelathini, kisha chemsha hadi itokote. Itakapo
tokota, ipua, chuja, makapi weka pembeni, baki na juisi yako
ambayo utaitumia kwa kunywa yote . Utafanya hivyo mara moja kwa
siku kwa muda wa siku thelathini. Unaweza kuinywa ikiwa ya
moto, ama ikiwa imepoa. Ila vizuri zaidi uinywe ikiwa ya moto.
4.
JUICE YA MSAFISHA TUMBO : Unashauriwa kunywa walau lita moja ya
juisi ya dawa asilia ya MSAFISHA TUMBO mara moja kwawiki katika
kipindi cha wiki nne utakazo kuwa unatumia dozi ya dawa ya
Jiko. Hii ina maana kuwa ndani ya wiki nne za dozi ya
Jiko, utatumia lita nne za juisi ya Msafisha Tumbo, lita moja
kila wiki, kwa muda muda wa wiki nne.
Matayarisho
Ya Juisi Ya Msafisha Tumbo: Chukua vijiko vitatu vidogo
vyenye dawa ya msafisha tumbo,, kisha weka kwenye lita moja ya
maji, halafu chemsha hadi itokote, ikisha tokota, ipua chuja,
makapi weka pembeni, ubaki na juisi yako ambayo utaitumia kwa
kunywa yote. Unatakiwa kuinywa ikiwa ya moto na muda mzuri wa
kuinywa ni saa kumi na mbili jioni.
5.
VITUNGUU MAJI NA VITUNGUU SWAUMU: Katika kipindi chote
utakacho kuwa unatumia dozi ya dawa ya Jiko, unashauriwa
kutumia kwa wingi sana, vitunguu maji na vitunguu swaumu.
NJIA ZA KUTUMIA VITUNGUU MAJI NA VITUNGUU SWAUMU
Zipo
njia kuu tatu za kutumia kitunguu maji na kitunguu swaumu kama
lishe maalumu kwa mwanaume anaye tumia tiba ya ukosefu na
upungufu wa nguvu za kiume.
A. MCHANGANYIKO WA JUICE YA KITUNGUU MAJI NA KITUNGUU SWAUMU
Unashauriwa
kutumia mchanganyiko huu, walau mara moja kwa wiki.Lakini kama
utaweza kutumia mara mbili au tatu kwa wiki, sio mbaya pia.
Mahitaji : Kitunguu swaumu kiasi ha robo kilo, kitunguu
maji robo kilo.
Matayarisho : Blend au saga robo kilo ya kitunguu swaumu kupata juisi yake. Ukisha saga, weka juisi yako kwenye sufuria
safi.
Kisha saga robo kilo ya kitunguu maji kupata juisi
yake,
ukisha pata juisi ya kitunguu maji, changanya pamoja na ile
juisi ya kitunguu swaumu halafu chemsha hadi itokote.
Ikisha tokota, ipua iache ipoe. Ikisha poa tumia kunywa
mchanganyiko wako wote. Utakunywa mara moja tu kwa siku.
Kama
utapenda, unaweza kuchanga na asali robo lita na kuchemsha
pamoja, kisha ikisha tokota, ipua iache ipoe na utumie kunywa.
B. KACHUMBARI YA KITUNGUU MAJI NA KITUNGUU SWAUMU
Chukua
vitunguu maji vikubwa vinne, kisha vimenye na kuvikata kata,
kama vitunguu vya kachumbari. Halafu chukua punje kumi na sita
za vituu swaumu, vikate kate na uvichanganye pamoja na vitunguu
maji ulivyo vikatakata.
Tumia
kula mchanganyiko wako wote. Utafanya hivyo mara moja tu kwa
siku. Unaweza kuongeza na chumvi ya kawaidakidogo kama utapenda.
Tumia kachumbari hii mara nyingi kadri utakavyo weza.
MENGINEYO
Kama ni mtumiaji wa chai, penda sana kutumia chai iliyo ungwa
kwa pilipili manga na tangawizi. Na kama unaatumia uji, penda
sana kutumia uji ulioungwa kwa pilipili manga
Jenga
mazoea ya kutumia nyanya chungu katika kila mlo wako. Kwa
mfano, kamaunakulala ugali na nyama, basi nyanya chungu pia
ziwepo pembeni ( NYANYA CHUNGU ZINAZO HITAJIKA HAPA NI ZILE
ZENYE RANGI YA KIJANI KIBICHI )
vi.
Jenga mazoea ya kuwa unajumuisha kitunguu swaumu kwenye mlo
wako. Nyanya chungu iwe kiungo kisicho kosa katika mlo wako.
Mfano, kama unakula ugali na nyama, basi katika mchuzi ya mboga
yako, kitunguu swaumu kiwe miongoni mwa viungo.
Kwa
mahitaji yako ya dawa ya JIKO pamoja na vumbi la kongo,
wasiliana na NEEMA HERBALIST, duka la kuuza dawa mbalimbali za
asili. Tunapatikana Ubungo jijini Dar Es Salaam, jirani na SHULE
YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO
PLAZA.
Kwa
wateja waliopo jijini Dar Es Salaam, wasio na muda au nafasi
ya kuja ofisini kwetu Ubungo, tunayo huduma ya kuwafikishia
dawa mahali walipo ( HOME & OFFICE DELIVERY)
Kwa
wateja waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, watatumiwa dawa
kwa njia ya usafiri wa mabasi mbalimbali. Wateja waliopo Zanzibar
watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti, wateja waliopo
Nairobi watatumiwa dawa kwa mabasi ya DAR EX PRESS, wateja
waliopo MOMBASA watatumiwa dawa kwa mabasi ya TAHMEED, na wale
wa ughaibuni watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 4418151.
Na kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee kila siku kwenye blogu yetu:
www.neemaherbalist.com
No comments:
Post a Comment