WEMA APEWA DHAMANA
Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu leo imemuachia huru msanii wa kitanzania wema sepetu aliyekuwa rumande kwa muda wa siku tatu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya mihadarati kwa dhamana ya shilingi milioni tano za kitanzania katika kesi inayomkabili ya kukutwa na misokoto ya bangi
No comments:
Post a Comment