RAISI MAGUFULI AOKOA BILIONI 900 KWA KUZUIA SAFARI ZA NJE
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kuwa serikali imeokoa takribani
bilioni 900 tangu Rais Magufuli azuie safari za nje za viongozi.
Hii ni kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangu aingie madarakani.
Inaelezwa kuwa, tangu zuio hilo, safari zisizo na tija zimeweza kuepukwa kwa kiwango cha 36% mpaka sasa..
No comments:
Post a Comment