Kukutana na Jay Z na Beyonce ni suala gumu, kukutana nao na ukashikana
nao mikono na kuzungumza mawili matatu nao ni suala gumu zaidi. Lakini
bahati hiyo ya mtende imeamuangukia mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo
Jumapili hii.
Siamini: Jokate Mwegelo akisalimiana na Jay Z huku mtoto wake, Blue Ivy akiamtazama kwa makini. Pembeni yao ni Queen Bey
Jojo amefanikiwa kukutana na The Carters wakiwa na mtoto wao, Blue Ivy
kwenye mchezo wa NBA All-Star Game uliofanyika Jumapili mjini New
Orleans, Louisiana kwenye uwanja wa Smoothie King Center.
โSo NBA Africa took me courtside and I haaaaaaad to say hello to the Carters,โ ameandika Jokate.
โOMG ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ. @beyonce is super cute and I canโt believe she shook my
hand and was like nice to meet you. ๐๐๐ค๐ค. I was like wait I need a
picture, I came all the way from Tanzania for this B ๐. Sheโs so
sweeeeeet and Iโm so lucky lmao,โ ameongeza.
โThank you @beylite @balleralert for this pic I couldnโt snap one as I
was shocked and still in disbelief. ๐ณ #Beyonce #Beylite #NBAAfricaGame
#NBAAllStar #Kidoti ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ.โ
No comments:
Post a Comment