Katika mkutano uliofanyika uwanja wa Mwalimu Nyerere wa kupambana na madawa ya kulevya awamu ya tatu.TID amekiri na kusema kwanza anapenda kutoa shukrani zake za dhati kwa Raisi Magufuli na pia RC Makonda .
Akiri na kusema hata rudi nyuma kamwe na pia atambambana kadri ya uwezo wake kuwasaidia vijana wengine waliojiingiza kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya kuacha kutumia madawa hayo . akiongezea kuwa Mziki bila madawa inawezekana.
No comments:
Post a Comment