Sunday, June 11, 2017

DRC: ZAIDI YA WATOTO 150,000 HAPENDI SHULE


Zaidi ya watoto 150, 000 hawaendi shule katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya wanamgambo na vi kosi vya usalama vya serikali  katikati ya nchi hiyo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia Watoto -UNICEF linakadiria kuwa zaidi ya shule 600 zimeha ribiwa kufuatia mapigano hayo,wakati nyingine zinatumiwa kama vituo vya dharura.
Vikosi vya usalama katika jimbo la kati la Kassai vinapambana na wapiganaji wa kikundi cha Kamwina Nsa pu,wanaotaka kuiangusha  serikali kuu katika eneo hilo.
Zaidi ya watu elfu moja  wameuawa na wengine milioni 1.3 wame yakimbia maka zi yao.

No comments:

Post a Comment