Monday, August 13, 2018

CUF YAENDELEA KUPUKUTIKA MBUNGE MWINGINE ATUA CCM APOKOLEWA KWA SHANGWE

Mbunge wa Liwale kupitia CUF, Zubeir Kachauka amejivua ubunge wake na uanachama wake na kujiunga na CCM huku akipokelew na Katbu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally leo makao makuu ya CCM.

No comments:

Post a Comment