JESUS AUMIA, AGUERO ATOKEA BENCHI NA KUSAIDIA KUIPANDISHA MAN CITY NAFASI YA PILI EPL
Huku
nyota mpya wa Man City, Gabriel Jesus akilazimika kwenda nje baada ya
kuumia, Muargentina, Sergio Aguero ameingia uwanjani na kuisaidia Man
City kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Bournemouth.
Ushindi
huo wa bao la Raheem Sterling na like la kujifunga baada ya Agüero
kuweka presha, limeifanya Man City kupaa hadi nafasi ya pili katika
msimamo wa Ligi Kuu England.
No comments:
Post a Comment