Pages
(Move to ...)
Home
HABARI
MICHEZO
BURUDANI
SIASA
▼
Tuesday, September 19, 2017
BREAKING NEWS;SERIKALI IMELIFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo, imelifungia gazeti la kila wiki la MwanaHalisi kwa muda wa miaka miwili likidaiwa kukithiri kuandika habari zinazokiuka maadili ya taaluma hiyo.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment